0 Comment
Na Diana Byera,Missenyi Zaidi wa wanafunzi 700 wa shule ya sekondari Mtukula Wamepewa Elimu ya kuwasilisha na kurepoti matukio ya ukatili katika madawati mbalimbali wilayani Missenyi huku wakihaidiwa Ulinzi wa kutowaweka wazi pale watakapotoa taarifa. Timu ya uratibu wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia wilayani Missenyi imefika shuleni hapo kama sehemu ya... Read More