0 Comment
Na Said Mwishehe,Michuzi TV- Kongwa MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema maana ya demokrasia sio kuhamasisha vurugu na uvunjitu wa amani Bali nii majadiliano, hoja na maelewano kwa lengo la kuimarisha umoja n a ushirikiano nchini, M Wasira ameeleza hayo leo Aprili 24,2025 alipokuwa wilayani Kongwa mkoani Dodoma akiendelea... Read More