0 Comment
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema hakuna sheria yoyote iliyokiukwa wala kuvunjwa kwa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kusikilizwa kwa njia ya mtandao. “Kesi hii itaendelea kusikilizwa kwa njia ya mtandao ‘video conference’ hadi pale Mahakama itakapoamua yenyewe” kwani sheria ya usikilizwaji wa kesi kwa njia... Read More