0 Comment
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imetoa gawio la shilingi Bilioni 11.7 kwa Serikali kwa mwaka 2025, likiwa ni ongezeko mara mbili walilotoa mwaka jana 2024 shilingi Bilioni 5.8. Gawio hilo limetolewa leo Juni 10, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia... Read More