0 Comment
Katika kuhakikisha elimu ya nishati safi ya kupikia inamfikia kila Mtanzania, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange ametumia sehemu ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya umeme katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupika kwa umeme kwa viongozi wa Serikali za Mikoa na Wilaya ili... Read More