0 Comment
Na WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewasihi wanafunzi 120 kutoka wilayani humo wanaoelekea kushiriki mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya mkoa kwa mwaka 2025, kuzingatia nidhamu, maadili na juhudi ili kufanikisha ushindi katika mashindano hayo. Kauli hiyo ameitoa leo wakati wa kuwaaga wanamichezo hao ambapo Kasilda aliwatakia safari njema... Read More