0 Comment
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDA’s na LGA’s), ametangaza nafasi 199 za ajira mpya na kuwataka Watanzania wenye sifa na uwezo kuwasilisha maombi yao. Kwa mujibu wa tangazo hilo, nafasi hizo zimetolewa kwa ajili ya kada mbalimbali na zitajazwa... Read More