0 Comment
-Ashauri wawekezaji wadogo, wakati na wakubwa wote watazamwe sawa -Asisitiza sekta ya kilimo kupewa kipaumbele kwa kinaajiri wananchi wengi MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa... Read More