0 Comment
Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki limekutana na kufanya Mkutano wake wa 47 katika makao makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha Aprili 25, 2025. Mkutano huo umefanyika katika ngazi ya Mawaziri kufuatia kukamilika kwa Mkutano ya Ngazi ya Wataalamu na Ngazi ya Makatibu Wakuu iliyofanyika kuanzia tarehe 22 hadi 24 Aprili... Read More