0 Comment
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, serikali ya mapinduzi Zanzibar Dk Islam Seif Katibu amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umelindwa na kutunzwa na waasisi pamoja na viongozi waliopo madarakani. Akizungumza katika kongamano la miaka 21 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika Chuo cha Uhasibu kampasi ya Arusha(IAA) leo Dk... Read More