0 Comment
Na Diana Deus,Missenyi Wafugaji wa Mkoa wa Kagera wametakiwa kuunga mkono juhudi za serikali za kufikisha mifugo katika vituo vya kutolea chanjo na utambuzi wa mifugo ili kufikia adhima ya serikali ya kudhibiti magonjwa na kupanua wigo wa masoko ya kimataifa. Mkuu wa Wilaya ya Missenyi, Kanali Mstaafu Hamis Mahiga, ambaye amemwakilisha Mkuu wa Mkoa... Read More