0 Comment
FARIDA MANGUBE, MOROGORO Wakazi zaidi ya 12,000 wa vijiji vya Alabama na Mizani, Wilaya ya Malinyi, wameondokana na adha ya upatikanaji wa maji safi na salama kufuatia kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Mizani-Itete, unaotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Mradi huo ni miongoni mwa miradi iliyozinduliwa... Read More