0 Comment
NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Stanslaus Haroon Nyongo (Mb) amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji kwa lengo la kuwawezesha Watanzania na wageni kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi nchini kwa kufanya mapitio ya jumla ya sheria 66 za kisekta. Nyongo ameyasema hayo... Read More