0 Comment
Wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi kwenye Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali zinazotelewa hapa katika Viwanja vya Mwl. Julius K. Nyerere kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa “SabaSaba”Ukitembelea Banda la UDOM utapata huduma ya afya bure, msaada wa kisheria bure, kujua miradi inayotekelezwa UDOM, tafiti... Read More