0 Comment
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM. Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu amezindua ushirikiano kati ya Benki ya Taifa ya Biashara (TCB) na Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) ambao unakwenda kutoa fursa kwa wateja wa benki hiyo kufanya miamala ya uwekezaji ya kuuza au kununua hisa kwa kutumia simu ya mkononi.... Read More