0 Comment
Mkurugenzi wa Masoko, Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC Ibrahim Samuel yuko nchini Botswana katika Jiji la Gaborone kwa ajili ya kutoa Elimu ya mfumo wa mabadiliko na uendeshaji wa klabu wenye kuleta thamani kwa wanachama na Washirika wa kibiashara kwa vitendo. Mkurugenzi huyo amekwenda nchini humo na kukutana na uongozi wa Klabu ya Township... Read More