0 Comment
Shule ya Sekondari Baobao ipo Kata ya Mapinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani; mwaka huu inatimiza miaka ishirini huku ikiyataja baadhi ya mafanikio yake ndani ya kipindi hicho. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bw. Venance Hongoa anayataja mafanikio hayo kuwa ni kuzalisha wataalam wa fani mbalimbali pamoja na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wanaopitia... Read More