0 Comment
WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema kuwa Serikali itahakikisha inatoa fedha ili kufanikisha utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu ili ziwe endelevu na kufikia malengo yale yaliyokusudiwa hasa ya kukuza lugha ya Kiswahili nchini na duniani kwa ujumla. Akizungumza jana wakati alipomwakilisha Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango... Read More