0 Comment
MUONEKANO wa moja ya Boti 3 za Kusafirisha Wangonjwa “Ambulance Boat” zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika... Read More