0 Comment
Hotuba ya Rais wa Colombia, Gustavo Petro, imegonga vichwa vingi vya habari baada ya kusema biashara ya kokeini inaweza kudhibitiwa kwa urahisi ikiwa dawa hiyo itahalalishwa duniani kote, kwakuwa dawa hiyo si mbaya zaidi kuliko mvinyo aina ya whisky. Katika mkutano wa mawaziri uliorushwa moja kwa moja, Petro amesema Kokeini ni haramu kwa sababu inatengenezwa... Read More