0 Comment
Na Said Mwishehe,Michuzi TV CHAMA Cha Mapinduzi(CCM)kimepitisha majina ya wagombea ubunge ndani ya Chama hicho katika majimbo ya mikoa mbalimbali nchini yakiwemo ya majimbo ya Mkoa wa Dodoma huku aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai jina lake likiwa miongoni mwa majina yaliyong’ara . Hata hivyo baada ya majina hayo kupitishwa na Kamati Kuu ya Chama... Read More