0 Comment
Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imekutana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu maboresho ya sheria na masuala mengine yanayohusu tume hiyo. Akizungumza Februari 6,2025 wakati wa kikao kazi hicho, Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, amesema vyombo vya habari ni mhimili muhimu unaotegemewa... Read More