0 Comment
Maafisa wa India wameripoti kuwa raia 104 wa nchi hiyo wamefukuzwa kutoka Marekani kwa kutumia ndege ya kijeshi ambapo hatua hiyo inakuja wakati masuala ya uhamiaji kati ya nchi hizo mbili yameendelea kuibua mijadala, huku wengi wa waliofukuzwa wakidaiwa kuingia nchini humo bila vibali halali. Aidha ripoti zinaeleza kuwa baadhi ya waliorejeshwa walifungwa pingu wakati... Read More