0 Comment
Na Said Mwishehe,Michuzi Blog KATIKA kuendelea kuimarisha ubunifu na kuendesha mabadiliko ya kidijitali,Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania kupitia programu yake ya FUNGUO, Vodacom Tanzania, na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH) wametangaza ushirikiano wa pamoja wa kuandaaWiki ya Ubunifu Tanzania 2025 (IWTz2025). Tukio hili kubwa, litakalojumuisha Mkutano wa Future Ready... Read More