0 Comment
Alphonso Davies amesaini mkataba mpya na Bayern Munich, utakaomweka katika klabu hiyo hadi 2030. Licha ya kutakiwa na Real Madrid, mchezaji huyo wa kimataifa wa Canada ameweka mustakabali wake kwa wababe hao wa Bavaria. Beki huyo wa kushoto mwenye umri wa miaka 23, ambaye mkataba wake wa awali ulikuwa unamalizika 2025, amekuwa mtu muhimu kwa... Read More