0 Comment
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema kuna baadhi ya watu wanaotaka kugombea ubunge wameanza kunyemelea majimbo kwa kuvunja maadili. Wasira ameeleza hayo Machi 24, 2025 wilayani Ngara mkoani Kagera alipokuwa akizungumza na wana CCM pamoja na wananchi katika kikao cha ndani cha Chama hicho ambapo ametumia nafasi hiyo... Read More