0 Comment
MAMLAKA ya Mapato Tanzania imetangaza majina 112,952 ya waliokidhi vigezo vilivyowekwa na hivyo kuitwa kwenye usaili wa mchujo wa kuandika huku idadi ya wanaotakiwa kuajiriwa kutoka kada mbalimbali ikiwa ni 1,596. Mapema mwezi Februari mwaka huu,, Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Mwenda akiwa Dodoma alisema wamepokea maombi ya watu 135,027 katika nafasi za ajira zilizotangazwa... Read More