0 Comment
CHAMA cha Walimu Tanzania(CWT) Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma,kimeipongeza Serikali ya awamu ya sita,kwa kuruhusu walimu kupandishwa madaraja kwa wakati,kupata daraja la mseleleko na kulipa viwango vipya vya mishahara. Pongezi hizo zimetolewa jana na Katibu wa Chama hicho Neema Lwila,wakati akisoma risala ya Walimu kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Manispaa ya Songea uliofanyika... Read More