0 Comment
Belinda Songea: NA BELINDA JOSEPH, SONGEA. Katika kuadhimisha wiki ya maji, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Songea SOUWASA, imezindua kampeni maalumu kuelekea kilele cha wiki hiyo, kwa lengo la kuhamasisha wateja waliositishiwa huduma kulipia nusu ya deni lao na kurejeshewa huduma, Kampeni hii imewekwa mkazo mkubwa katika kuelimisha na kuwahimiza wateja kurejesha... Read More