0 Comment
Madaktari bingwa wa mpango wa Mama Samia kutoka mikoa mbalimbali wametoa mafunzo ya kuboresha utoaji huduma kwa mama na watoto wachanga kwa watumishi wa afya wa Hospitali ya Wilaya ya Singida na vituo vya afya jirani. Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo watoa huduma, hasa katika sekta ya afya ya mama na mtoto, ili... Read More