0 Comment
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara, Bw. Victor Charles, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Timu ya Wataalam wa Elimu ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Bw. Salim Khalfan Kimaro (wa tatu kulia), walipofika katika Ofisi ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji huyo, ili kuanza zoezi la utoaji wa elimu katika Halmashauri... Read More