0 Comment
Na Mwandishi Wetu, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi hiyo, Wakili Patrick... Read More