0 Comment
Na John Walter -Babati Kijiji cha Sangaiwe, kilichopo katika Kata ya Mwada, kimenufaika pakubwa na juhudi za uhifadhi na kupiga hatua kubwa za maendeleo. Kupitia uhifadhi, kijiji kimeweza kujenga miundombinu bora na kuboresha maisha ya wakazi wake kwa kiwango kikubwa. Kijiji kimefanikiwa kujenga ofisi ya kisasa kwa ajili ya shughuli za utawala, jambo linalorahisisha utoaji... Read More