0 Comment
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara,Kilimo na Mifugo imetoa rai kwa Wananchi kutumia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwa kutunza na kuuza mazao yao kwa bei halisi na kuepuka mifumi isiyorasmi kwa kuwa haina faida kama wakitumia mifumo rasmi ambayo inawanufaisha wakulima wafanyabiashara na kujenga uchumi kwa ujumla. Vilevile kamati hiyo imeishauri Wizara... Read More