0 Comment
Tanzania imepiga hatua muhimu katika sekta ya misitu baada ya wataalamu wa misitu kutoka Russia kutembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) kwa lengo la kujadili na kuimarisha utafiti wa kisayansi katika uhifadhi wa misitu. Ziara hiyo iliyofanyika Machi 11,2025, iliyojumuisha maofisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakala wa Huduma za Misitu... Read More