0 Comment
Mmoja wa maafisa wa kampuni ya Taifa gas akigawa mtungi wa gesi kwa mmoja ya wafanyabiashara wa Samaki katika soko la ferry* #Yawagawia mitungi ya gesi 300 kuunga mkono ajenda ya Rais Samia ya Nishati Salama Wakati mkutano mkubwa wa kimataifa wa Nishati ukiendelea nchini kampuni ya Taifa Gas imeunga mkono jitihada za Rais wa... Read More