0 Comment
Wanafunzi na Watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto wanaotoka kwenye mazingira hatarishi wakiwa katika eneo la bustani kwa ajili ya kupata elimu juu ya kilimo cha Mboga kutoka kwa Wanawake watafiti kutoka taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Mboga Duniani “World Vegetable Center ya jijini Arusha ambao waliwatembelea watoto hao .Mtafiti Bi. Inviolate Mosha... Read More