0 Comment
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva ameongoza wananchi wa Kata ya Nangaru- Lindi Manispaa kwenye zoezi la uchimbaji wa misingi ya majengo ya shule mpya ya Sekondari ya Amali ambayo inapewa jina la Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Secondary School. DC Victoria amemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa miradi ya maendeleo kwenye Sekta ya... Read More