0 Comment
Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuwa uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyounganishwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa hadi kufikia mwezi Desemba, mwakajana ni jumla ya Megawati 3,091.71 ikilinganishwa na Megawati 2,842.96 zilizokuwepo mwezi septemba, 2024 ikiwa ni ongezeko la Megawati 248.75 sawa na asilimia 8.75. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu... Read More