0 Comment
Ni uzinduzi wa Tuzo za wachekeshaji nchini TCA ambao umezinduliwa Usiku huku ukiwa na usimamizi wa baraza la Sanaa la Taifa BASATA na Bodi ya filamu chini ya Wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo ikisimamiwa na Naibu waziri wa wizara hiyo Khamisi Mwinjuma Tuzo za TCA ( Tanzania Comedy Awards ) zina category 21... Read More