0 Comment
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia, Masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis L. Londo (Mb) ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Kilimo, Maji, Mazingira na Maendeleo Vijijini na Mawaziri wa Mambo ya Nje uliofanyika jijini Kampala, Uganda. tarehe 10 Januari, 2025 Mkutano huo wa... Read More