0 Comment
RAIS Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Chakula Afrika (Africa Food Prize Committee) na Mjumbe wa Bodi ya AGRA, anashiriki Mikutano mbalimbali kuhusu uboreshaji wa kilimo barani Afrika, kuelekea kupitishwa kwa Programu ya Kuendeleza Kilimo Barani Afrika (CAADP 2026 – 2035), Kampala, nchini Uganda. Mikutano hii itafikia kilele kwa... Read More