0 Comment
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Mwalimu Mwajuma Nyamka amewataka wenyeviti wote wa serikali za mitaa kupitia tiketi ya CCM ambao wamechaguliwa kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu kutumia madaraka yao vizuri na kufanya kazi kwa weledi na kuwatumikia wananchi kwa kusikiliza kero na... Read More