0 Comment
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV UCHUMI wa Tanzania Bara na Zanzibar umeendelea kuwa imara kwa mwaka 2024 ambapo Uchumi wa Tanzania Bara ulikua kwa asilimia 5.4 katika nusu ya kwanza ya mwaka 2024, na unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.6 katika robo ya tatu na asilimia 5.7 katika robo ya nne ya mwaka 2024. Kwa kuzingatia... Read More