0 Comment
NA FARIDA MANGUBE – MOROGORO Chuo Kikuu Mzumbe kimewatoa hofu wanafunzi ambao hawajafanya usajili chuoni hapo kwamba zoezi la usajili bado linaendelea mpaka January 10, 2025 na wapuuze taarifa zinazosambaa mtandaoni. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Willium Mwegoha, akizungumza na waandishi wa habari amekanusha taarifa zilizopo kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanafunzi wanaotakiwa... Read More