0 Comment
Kongamano kubwa la ‘Binti wa Leo, Samia wa Kesho’ linatarajiwa kufanyika Jumamosi Machi 08, 2025, katika ukumbi wa Bwalo la Jeshi, Kona ya Nyegezi jijini Mwanza, likilenga kuhamasisha mabinti wa vyuo na vyuo vikuu kutimiza malengo yao kwa kutumia mifano ya mafanikio ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kongamano hili ni sehemu ya maadhimisho ya... Read More