0 Comment
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, wanawake kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imejitolea kugharamia matibabu ya kiasi cha TZS milioni mbili na nusu kwa watoto wanaougua saratani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na msaada wa mahitaji mbalimbali yenye thamani ya TZS 710,000 ikilenga kuboresha huduma za matibabu kwa... Read More