0 Comment
Makamu wa Pili Mstaafu wa awamu ya saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewataka Mahakimu na Majaji kufanya kazi kwa uadilifu wanapo sikiliza mashauri ya wananchi. Ameyasema hayo huko Binguni Mkoa wa Kusini Unguja wakati akiweka jiwe la msingi Mahkama ya Mkoa wa Kusini kufuatia shamrashamra za kuadhimisha miaka 61... Read More