0 Comment
*DCEA yasema ni jahazi lenye uwezo wa kubeba tani nane za dawa za kulevya kwa wakati mmoja *Watu nane ambao ni raia Pakistani nao wakamatwa wakiwa katika jahazi hilo Na Said Mwishehe MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA)imefanikiwa kukamata Jahazi kubwa lenye uwezo wa kubeba tani nane za dawa za kulevya kwa... Read More