0 Comment
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na Kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Liwale Ndugu. Kindamba Milingo. Akiwasilisha salamu za Chama cha Mapinduzi kwa waombolezaji waliojitokeza katika Msiba huo Uliofanyika leo (Jumatano, Januari 08, 2025) Nyumbani kwa Marehemu Pulipwite... Read More